By Admin, Communication and Information Office,
Mkuu wa Taasisi anapenda kuwaalika wadau wenye sifa zilizobainishwa kushindania Zabuni(TENDER) ya ushonaji wa Unifomu za Wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2025/2026.